Now greet her dis way

Now greet her dis way
How to greet someone's wife

7 unforgiving responses from Kenyan matatu conductors




1.An elderly woman complains about the music "Wekeni nyimbo za Yesu"
Conductor: Mathee, Yesu bado hajatoa album

2.Passenger: Kuna kiti?
Conductor: Hao wengine wamekalia ndoo?

3.Passenger: Kuna kiti ama ni zile uongo zenu?
Conductor: Hehe kama ulikua unaogopa kukosa kiti si ungebeba yako.

4.Passenger: Bwana hii gari ina joto sana!
Conductor: Basi shuka upande fridge.

5.Conductor: Madam,kuna seats pale nyuma.
Passenger: Siwezi kaa seats za nyuma. Nataka ya mbele.
Conductor: Kwani za nyuma ziko nje ya gari? Basi wacha dereva ashuke ukae mbele.

6.Passenger: Tao ngapi?
Conductor: Mbao
Passenger: Niko na kumi
Conductor: Iyo nunua avocado ujipake uteleze mpaka tao.

7.Girl: Dereva ongeza volume tuskie Mwalimu King’ang’i
Connductor: Ungeskiza Mwalimu wa shule ungekua na gari yako si kutusumbua hapa na King’ang’i